Semfuko amesema Simba ina wachezaji bora kwenye kila idara kwahiyo unapopewa nafasi ya kucheza unapaswa kujitoa ili kuendelea kulishawishi benchi la ufundi lizidi kukupa nafasi zaidi.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Semfuko amefunguka kumpigia simu mama yake ili kutazama mechi.