Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Semfuko afunguka A-Z historia ya maisha yake ya soka

21 Aug 2025

Semfuko amesema siku aliyopewa taarifa ya kutakiwa nasi hakuamini kutokana na ukubwa wa Simba na aliamini sasa safari yake ya soka imepiga hatua na ataweza kutimiza malengo yake.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Semfuko amezungumzia vita ya kugombania namba ndani ya timu huku akitoa ahadi kwa mashabiki.

Advertisement
Back to homepage
Share this story