Ahmed amesema wachezaji wengi waliopangwa kwenye mechi dhidi ya Namungo wamekuwa hawapati namba sana kwenye kikosi cha kwanza lakini wameonyesha kiwango bora kama wale wengine wanaoanza kila siku.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed ameyachambua mabao yote matatu tuliyofunga.