Ahmed ametaja nafasi zilizokoswa na Moses Phiri, Luis Miquissone na Shomari Kapombe ambazo kama wangetulia zote zilikuwa mabao.
Tazama hadi mwisho mahojiano haya ili kufahamu furaha ya Wanasimba baada ya kuona 'Jenerali' Moses Phiri akitupia muda mfupi baada ya kuingia.