Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Semaji asema tulihitaji kufuzu robo fainali ya CRDB Cup

27 Mar 2025

Ahmed amesema tulicheza mechi ya mwisho Machi 14 hivyo tulihitaji kuwarejesha wachezaji wetu katika hali nzuri ya kujiamini hivyo tumetimiza malengo ya kutinga robo fainali na kuwapa wachezaji mechi ya ushindani.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia safari ya timu kuelekea kesho Alfajiri.

Advertisement
Back to homepage
Share this story