Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Semaji amlimtabiria Mukwala kuwaua Al Masry, 'Gaza' avamia mahojiano

9 Apr 2025

Ahmed amesema mara zote amekuwa akimuamini Mukwala na amefanya maajabu kwenye mechi za nyumbani na leo kafanya tena Kimataifa.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mratibu wa timu Abbas Ally 'Gaza' amesema kilichobaki sasa ni kuleta taji nchini.

Advertisement
Back to homepage
Share this story