Ahmed amesema tulimuhitaji Sowah ili kuweza kufikia malengo tuliyojiwekea kuelekea msimu huu kwakuwa tunataka kufanya vizuri ndani pamoja na Ligi ya Mabingwa.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed ametoa siri ya jinsi mshambuliaji huyo alivyotua kutoka kwao Ghana akiwa na familia yake.