Ahmed amesema timu inayopigania ubingwa lazima iwe na muendelezo wa kupata matokeo ya ushindi kitu ambacho sisi tunakosa kwakuwa tunacheza mechi moja vizuri nyingine tunaboronga.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Ahmed amezungumzia kinachotakiwa kufanyika ili kulimaliza jambo hili.