Mtendaji Mkuu wa Klabu, Imani Kajula amesema mashabiki wa Simba wamekuwa muhimu kwetu katika kipindi chote cha mwaka 2023 na amewaomba waendelee hivyo kwa mwaka 2024.
Kwa upande wake Meneja Habari na Mawasiliano Ahmed Ally amesema mwaka 2023 haukuwa bora sana kwetu lakini mwaka huu 2024 anaamini tutarejea katika hadhi yetu.