Simba Sports Club
News

VIDEO: Sakho afunguka maana ya kushangilia kwa kutambaa

6 Nov 2022

Sakho amesema aliamua kushangilia kwa mtindo huo baada ya kufunga bao lake la kwanza sababu alikuwa na hasira kutokana na kutoanza vizuri msimu huu.

Nyota huyo ameongeza kuwa kutokana na kuanza ligi akiwa hayupo kwenye kiwango bora alishangilia vile ili kuwaambia mashabiki kuwa Simba amerudi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story