Simba Sports Club
News

VIDEO: Safari nzima kutoka Dar hadi Zanzibar

31 Dec 2023 By simbasc 370 views
Kikosi chetu kimewssili salama Visiwani Zanzibar tayari kwa kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi ambayo inaendelea. Tumekuwea video za matukio yote kuanzia jijini Dar es Salaam wakati tunaanza safari mpaka kufika Zanzibar na njiani jinsi ilivyokuwa.   https://youtu.be/Mu8s8EXzyFI?si=_be8IU_yXM6lgkgv
Advertisement
Back to homepage
Share this story