Kwa upande wake kocha wa vijana, Seleman Matola amekumbusha mchezo dhidi ya Moro United katika Uwanja wa Azam Complex ndio ulimtoa Mkude baada ya Mwinyi Kazimoto kushindwa kuendelea na mechi.
Nae nahodha msaidizi, Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr' amesema Mkude ni mchezaji ambaye tangu amkute kikosini hajawahi kumuona akishuka kiwango mpaka sasa.
Advertisement
Tazama hadi mwisho kuona mahojiano haya ili ufahamu walivyomzungumzia Mkude ambaye amedumu kwenye kikosi chetu kwa miaka 13.