Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Rwenyemamu afunguka maendeleo ya timu za vijana

30 Jan 2024

Rwenyemamu amesema program zinaendelea vizuri ingawa katika michuano iliyopita ya vijana hatukufanya vizuri lakini sasa timu zipo kwenye hali nzuri.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Rwenyemamu ameweka wazi kuwa Kocha Suleiman Matola amerejea kwenye kikosi hicho baada ya Mohamed Mishona 'Xavi' kupewa majukumu ya kukinoa kikosi cha timu ya Taifa ya Wanawake chini ya umri wa miaka 17.

Advertisement
Back to homepage
Share this story