Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Rushine De Reuck ataja sababu ya kujiunga na Simba

10 Aug 2025

De Reuck amesema Kocha Fadlu Davids ana mchango mkubwa kwa yeye kujiunga nasi huku akifurahia mapokezi makubwa aliyopata kutoka kwa mashabiki pamoja na wachezaji wenzake.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho De Reuck amefunguka mengi kama kuwahi kucheza golikipa baadae mshambuliaji kabla yakuwa mlinzi wa kati.

Advertisement
Back to homepage
Share this story