Rufa ambaye amefanyiwa mahojiano hayo na mchezaji mwenzake Jentrix Shikangwa amesema imekuwa siku ya furaha kwakwe baada ya kuisaidia timu kupata ubingwa.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Rufa amezungumzia pia kuhusu huzuni aliyopata baada ya kupoteza taji hili msimu uliopita.