Robertinho amesema malengo yetu ni kuhakikisha tunacheza vizuri na kupata ushindi.
Kiungo mshambuliaji, Saido Ntibazonkiza amesema mchezo hautakuwa na presha kwakuwa wote tumefuzu lakini tunahitaji kupata ushindi.
Advertisement
Tazama hadi mwisho ili uone walichosema wawili hao katika Mkutano wa Waandishi wa Habari.