Kwa upande wa Moses Phiri amesema utakuwa mchezo mzuri na kila mchezaji yupo tayari kwa ajili ya
Kupigania nembo ya Simba.
Advertisement
Tazama video hii ili kujua kila kitu kilichozungumzwa katika Mkutano wa Waandishi wa Habari kuelekea mchezo wa kesho.