Simba Sports Club
News

VIDEO: Robertinho: Jambo la kwanza tunahitaji Ushindi dhidi ya Dodoma Kesho

21 Jan 2023

Robertinho ameongeza kuwa Simba ni timu kubwa na malengo yake ni kushinda ubingwa hivyo kila mchezo tunahitaji kupata alama tatu.

"Tuna nafasi ya kuonyesha Simba ni timu kubwa. Baada ya kambi ya wiki moja Dubai kufanikiwa tunahitaji kushinda na kuonyesha soka safi. Ili kuwa bingwa lazima kuchukua alama tatu," amesema Robertinho.

Advertisement
Back to homepage
Share this story