Robertinho amesema wiki ya kwanza ya mazoezi tuliitumia kuweka sawa miili ya wachezaji wakati ya pili ilikuwa ni kuwafundisha mbinu na mifumo kitu ambacho wachezaji wamekifanya vizuri.
Tazama hadi mwisho mahojiano haya ili kufahamu alichosema kuhusu hali ya kikosi tangu tulivyoanza mazoezi hadi sasa.