Simba Sports Club
News

VIDEO: Robertinho awaita mashabiki kwa Mkapa Jumamosi

14 Feb 2023

Robertinho amesema wachezaji wanafurahi na kupambana sana wanaposikia hamasa za mashabiki jukwaani hata yeye kama kocha jambo hilo linamfurahisha hivyo amesisita Wanasimba wajitokeze kwa wingi Jumamosi.

Tazama mahojiano yote aliyofanya Robertinho na Waandishi wa Habari Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere baada ya kutua kutoka nchini Guinea.

Advertisement
Back to homepage
Share this story