Simba Sports Club
News

VIDEO: Robertinho aridhishwa na hali ya Kikosi

31 Jul 2023

Robertinho amesema kwa aina ya wachezaji tulionao tunaweza kutumia kila aina ya mbinu iwe kushambulia, kuzuia na kumiliki mpira kulingana na mpinzani tutakayekutana nae.

Tazama hadi mwisho mahojiano haya ili kujua Robertinho anawaza nini kuelekea msimu mpya wa mashindano 2023/24.

Advertisement
Back to homepage
Share this story