Simba Sports Club
News

VIDEO: Robertinho afurahishwa na 'mavitu' ya Kramo mazoezini

30 Aug 2023

Robertinho amesema ni 'sapraizi' kuona Kramo akifanya vizuri mazoezini licha ya kutoka kwenye majeraha yaliyomfanya kukosa mechi za mwanzo za msimu.

Tazama mahojiano haya mpaka mwisho, Robertinho ameweka wazi kuhusu kupata mechi mbili za kirafiki kabla ya kuifuata Power Dynamos nchini Zambia.

Advertisement
Back to homepage
Share this story