Simba Sports Club
News

VIDEO: Robertinho afunguka sababu ya kumpa Kibu zawadi

11 Jan 2023

Robertinho amesema amependeza jitihada anazofanya Kibu mazoezini na utaratibu wake ni kutoa zawadi kwa wachezaji wake ili iwe kama motisha na mshikamano baina ya wachezaji.

Tazama video uone Robertinho akifunguka mengi katika mahojiano na Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally.

Advertisement
Back to homepage
Share this story