Simba Sports Club
News

VIDEO: Robertinho afunguka kuhusu mchezo dhidi ya Waydad

5 Apr 2023

Robertinho amesema Wyadad Casablanca ni timu bora tena mabingwa watetezi wa michuano hii lakini anawaamini wachezaji wetu na malengo ni kucheza vizuri na kushinda.

Tazama mahojiano yote aliyofanya na Meneja Habari na Mawalisiano wa klabu Ahmed Ally hadi mwisho ujue maandalizi ya mchezo yatakavyokuwa kabla ya kukutana na mabingwa hao.

Advertisement
Back to homepage
Share this story