Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Rais Samia kutoa milioni 10 kwa kila bao AFL

18 Oct 2023

Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa katika viwanja vya Mbagala, Dar es Salaam wakati wa zoezi la hamasa likiendelea.

Tazama hadi mwisho video hii kuona jinsi ilivyokuwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story