Dkt. Mwinyi amesema kwa sasa sio suala la klabu tena bali ni la nchi nzima kama ambayo Serikali ya Jamhuri ya Muungano inavyosaidia katika kila hatua na SMZ nayo haijabaki nyuma ili malengo yaliyowekwa tunatimiza.
Tazama video hii hadi mwisho Dkt. Mwinyi amekumbushia kilichotokea mwaka 1993 mbele ya baba yake Rais wa awamu ya pili Hayati, Ally Hassan Mwinyi.