Simba Sports Club
News

VIDEO: Rage akumbushia tulivyopindua meza kibabe Zambia 1974

25 Feb 2023

Rage amesema mwaka 1974 tulipoteza nyumbani kwa mabao 4-0 dhidi ya Green Buffalo ya Zambia lakini kwenye mchezo wa marudiano tulishinda kwa mabao 5-0 tena mbele ya Rais wa wakati huo Kenneth Kaunda kwahiyo hata leo tunaweza kushinda.

Tazama mahojiano aliyofanya Rage na Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu Ahmed Ally huku pia akiweka wazi kuvutiwa na kiungo mkabaji, Sadio Kanoute lakini pia amemshauri baadhi ya mambo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story