Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Queens yautaka ubingwa wa CECAFA

13 Aug 2024

Ahmed amesema uwekezaji tuliofanya na aina ya kikosi tulichonacho tuna kila sababu ya kuibuka mabingwa wa michuano hiyo licha ya timu nyingine kujiandaa vizuri.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia ubora wa kocha wetu mkuu, Juma Mgunda.

Advertisement
Back to homepage
Share this story