Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Phiri nae atoa neno kuhusu hali ya timu

27 Nov 2023

Phiri amesema hata wao wana ndugu jamaa na marafiki ambao nao wanaumizwa na hivyo hakuna namna hali hiyo inatakiwa kumalizika ambapo umoja na mshikamano ndio unahitajika kwa sasa.

Tazama video hii hadi mwisho ili kuona Phiri alichosema.

Advertisement
Back to homepage
Share this story