Simba Sports Club
News

VIDEO: Phiri alitoa bao lake kwa mashabiki

20 Aug 2023

Phiri amesema anafahamu mashabiki wetu wanampenda sana na yeye anawependa pia hivyo kwa kushirikiana na wachezaji wenzake atahahakikisha wanawapa furaha.

Phiri amefunguka mengi akiweka wazi kuwa bado yupo sana ndani ya kikosi tazama mahojiano haya mpaka mwisho kujionea kila kitu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story