Licha ya ushindi wa mabao 2-1 tuliopata dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Kocha mkuu, Pablo Franco hajaridhishwa na kiwango tulicho monyesha.
Pablo amesema kitu pekee alichokipenda kutoka kwenye mchezo wa leo ni kupata alama tatu lakini kiuchezaji hajaridhishwa.
Advertisement
Pablo ameongeza kuwa tulishindwa kutengeneza nafasi nyingi pia tulizopata hatukuzitumia vizuri na mara kadhaa tulikuwa kwenye hatari.