Jobe amesema ukiwa mshambuliaji hutakiwi kuwa na mambo mengi uwanjani zaidi ya kutumbukiza mabao wavuni na ndilo jambo lililomleta ndani ya kikosi chetu.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Pa Jobe amezungumzia pia kuhusu wingi wa mashabiki wetu wanaojitokeza uwanjani.