Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Onana azungumzia robo fainali dhidi ya Al Ahly

22 Mar 2024

LOnana amesema pamoja na ugumu na ukubwa wa Al Ahly bado tuna nafasi ya kufanya vizuri hasa tukitumia zaidi mchezo wa nyumbani.

Tazama video hii hadi mwisho Onana amezungumzia pia kuhusu mechi za nyuma huku akiikumbuka zaidi ile dhidi ya ASEC Mimosas.

Advertisement
Back to homepage
Share this story