Simba Sports Club
News

VIDEO: Onana asimulia alivyotoka mtaani hadi kucheza Ligi Kuu

31 Jul 2023

Onana raia wa Cameroon amesema akiwa na umri wa miaka 17 kulikuwa na mchujo wa kutafuta wachezaji wenye vipaji kutoka mtaani na hapo ndipo alipotokea.

Onana amesema pia alipata nafasi ya kwenda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa nchini Uturuki lakini maumivu ya mgongo yalimkoseha dili akarudi nyumbani Cameroon.

Advertisement

Tazama video hii hadi mwisho kujua historia ya nyota huyu mpya tuliyemsajili kutoka Rayon Sports ya Rwanda.

Back to homepage
Share this story