Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Onana amtaja Benchikha kiwango chake kuimarika

19 Dec 2023

Onana amesema Benchikha ameonyesha kuwa na imani nae kitu ambacho kimemuongezea ari ya kujituma huku akiwaahidi mashabiki mambo mazuri zaidi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Onana amefunguka mengi zaidi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story