Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Onana alitoa bao lake kwa timu

9 Mar 2024

Onana amesema ni furaha kufunga bao la ushindi hasa ukiwa umetoka kwenye majeraha lakini cha kwanza ni kuisaidia timu.

Tazama mahojiano haya aliyofanya hadi mwisho Onana amezungumzia pia kuhusu mashabiki.

Advertisement
Back to homepage
Share this story