Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Omary Omary afunguka baada ya kupata nafasi

6 Nov 2024

Omary amesema Kocha Fadlu Davids alimwambia aende kutuliza timu kutokana na kuongoza kwa idadi kubwa ya mabao na ndicho alichokifanya.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Omary amezungumzia pia malengo yake baada ya kupewa nafasi kwa mara ya kwanza.

Advertisement
Back to homepage
Share this story