Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Okajepha aliijua Simba kabla ya kujiunga nasi

21 Jul 2024

Okajepha amesema mashabiki wetu wamempokea kwa mapenzi makubwa na yeye atawalipa kwa kuhakikisha anajituma kama ilivyokuwa akiwa Rivers United.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Okajepha amezungumzia mipango yake kuelekea msimu mpya wa mashindano 2024/25.

Advertisement
Back to homepage
Share this story