Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Okajepha afunguka kuhusu malengo ya timu

11 Mar 2025

Okajepha amesema kila mchezo kwetu ni fainali ndio maana katika mchezo wa leo tulijitoa kwa asilimia 100 licha ya kucheza na TMA Stars inayoshiriki Championship.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Okajepha amezungumzia pia kuhusu kukosa nafasi kwenye kikosi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story