Talib amewaambia wachezaji ingawa tumepoteza ubingwa msimu uliopita na sasa tupo alama sita nyuma ya wanaongoza lakini kwa aina ya kikosi tulichonacho tunaweza kurejesha mataji yetu tuliyopoteza.
Tazama video pamoja na mahojiano aliyofanya Talib na Meneja wa Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally.