Simba Sports Club
News

VIDEO: Nyota wazamani asimulia kipigo cha mabao 6-0 tulichowapa Yanga 1977

14 Jan 2023

Aluu amesema kulikuwa na mshikamano mkubwa wa ndani na nje ya uwanja kuanzia wachezaji, benchi la ufundi, viongozi mpaka mashabiki.

Tazama hapa mahojiano yote aliyofanya na Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu Ahmed Ally.

Advertisement
Back to homepage
Share this story