Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Nyota wa U 20 watamba kuiangamiza Singida Kesho

24 Mar 2026

Wawili hao wamesema pamoja na ugumu ambao tunategemea kukutana nao katika kutoka kwa Singida lakini tupo tayari kuipigania timu na kuivusha kwenda hatua ya nane bora.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho nyota hao wamefunguka ilivyokuwa katika mchezo wa mzunguko wa kwanza ugenini.

Advertisement
Back to homepage
Share this story