Ahmed amesema kuna wachezaji wamebaki Dar es Salaam wakikamilisha taratibu za usajili na vibali vya safari kabla ya kwenda kujiunga na wenzao kambini Misri.
Tazama mahojiano haya mwisho Ahmed amemzungumzia pia nyota mpya tuliomtambilisha jana mchana, Morice Abraham.