Ingawa amekuwa na takwimu nzuri kuliko mchezaji yoyote na wengi walitarajia angekuwa mchezaji bora wa msimu (MVP) Ntibazonkiza amesema kila kitu kina wakati wake na anamshukuru Mungu kwa alichopata.
Ntibazonkiza amesema kila kunachotokea kinapangwa na huenda kuna mambo mazuri zaidi yanakuja mbeleni hivyo tunajiapanga kwa msimu ujao.
Advertisement
Tazama hadi mwisho mahojiano haya uone alichosema kwa ujumla kuhusu kuwa mchezaji aliyeshinda tuzo nyingi.