Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ngoma hajafurahi kucheza bila mashabiki

19 Jan 2025

Ngoma amesema uwepo wa mashabiki uwanjani unaongeza hamasa kwa wachezaji kitu ambacho hakikuwepo lakini jambo jema ni kuwa tumefanikiwa kutinga robo fainali na kuongoza kundi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ngoma amewashukuru mashabiki kwa sapoti kubwa wanayotoa kwa timu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story