Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ngoma ajiunga na wenzake mazoezini Tabora

5 Feb 2024

Ngoma amechelewa kujiunga na wenzake na pia amekosa mechi mbili dhidi ya Tembo FC na Mashujaa tayari amejiunga na timu kwa ajili ya mchezo wa kesho.

Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi mazoezi kamili yalivyokuwa

Advertisement
Back to homepage
Share this story