Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ngoma afurahia kuipa timu Ushindi dhidi ya Singida

28 Dec 2024

Ngoma amesema kuhusu kufunga mabao ya kichwa amekuwa akifanyia hivyo mazoezini hata jana alifunga kwa kichwa wakati wa maandalizi ya mwisho.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ngoma amewashukuru mashabiki kwa kujitokeza kwa wingi uwanjani.

Advertisement
Back to homepage
Share this story