Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ngoma Afunguka kuhusu mchezo dhidi ya Wydad Casablanca

7 Dec 2023

Ngoma amesema matokeo ya ushindi yatatuweka kwenye nafasi nzuri ya kusonga mbele kwenye hatua ya robo fainali ndio maana kila mchezaji yupo tayari kuipambania timu kupata ushindi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Ngoma pia amezungumzia kuhusu kurejea kucheza katika ardhi ya Morocco kwakuwa amewahi kuitumikia Raja Casablanca miaka mitatu iliyopita.

Advertisement
Back to homepage
Share this story