Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Nangu atimiza ndoto yake ya kujiunga Simba

8 Sep 2025

Nangu amesema kila mchezaji anatamani kucheza timu kubwa ili kukuza kipaji chake na kujitangaza Kimataifa na yeye anaamini atapita njia hizo ili kuweza kuisaidia timu kuweza kufanya vizuri kwenye michuano ya ndani na nje.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Nangu ameweka wazi pia ushindani wa namba ndani ya Simba utakuwa mkubwa lakini yupo tayari kupambana.

Advertisement
Back to homepage
Share this story