Nangu amesema hakupanga kushangilia alipoifunga timu yake hiyo ya zamani lakini ilitokea akashindwa kujizuia kutokana na umuhimu wa bao lenyewe.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Nangu amezungumzia mchezo mzima ulivyokuwa huku akilitoa bao hilo kama zawadi kwa mama.